tunasomana mkuu kumbe tupo jirani na hizo nyumba...Mie ni jirani ya hizo apartments, kwanza kwa location zilipo hawezi kuwa alinunua hata kama ni milioni mia tano, maana kiwanja tu kwa mbezi ya whitesands kinavuka hiyo bei. Halafu sijui kwa nini vijana wanajisahau dah atarudi kupiga picha za harusi mpaka za msiba wa mademu zake wote na iwe fundisho kwa wengine mnaenda kuuza sura mnajidhalilisha then mnapata hela bado mnakaa kudhalilika , why??
duh! kweli madem cyo watu wa mchezo mchezo, hongera chaa_lii ya R kwa kugraduate umaskiniBaada ya idris sultan kuonekana kufulia mjini msanii ney wa mitego ameibuka na kumuuliza idris sultani kuhusu milioni 500 alizoshinda kwenye big brother
Ney wa mitego" baada ya kushinda big brother watu wadau walimkanya kuhusu wacheza sinema wa bongo, ila inabidi atuambie pesa nyingi zile milion 500 zimeisha ishaje fasta hizi kijana mwenzetu, milioni 500 si mchezo, idris tuambie zimeishaje?
View attachment 424909
sasa si mpaka apate tena sio maji ya kunywa yale kuwa anaweza pata kila siku [emoji2] [emoji2]Alifikiria kufuatwa na wanawake lukuki tena wenye majina ni kupendwa,ila akipata tena hatarudia!!!
Huyo mwarabu juzi ameonekana China akiwa na Wema ambaye ni x shem wake.
Hiv ile nyumba kumbe sio yake kumbemil 500 zimeisha hana hata nyumba kweli wanawake wa dar nouma sana tena wauaji vibaya mno
Show off za kijinga kweli yule dada sijui kidume gan anaemuwezaHakuna pesa nyingi kwa madam Wema hata ziwe znajaa kwa kontena yule dada co wa mchzo mchzo
Hakuna zawadi ya bure nyumba nzuri hivyo ya bure kitu kitu gani nyumaaAlizawadiwa hiyo nyumba na mwarabu familia ya jamaa wa furniture centre sikuhizi GSM ....
Swali jiulize huo urafiki wa mwarabu na mbongo hadi kupeana ghorofa wapi na wapi
Umaarufu usioisha[emoji12]Endless fame. Manake nini???
Hapo tigo inahusikaHakuna zawadi ya bure nyumba nzuri hivyo ya bure kitu kitu gani nyumaa
Mkuu umejuaje kama hana nyumba au huwa mnakuwa wote batanimil 500 zimeisha hana hata nyumba kweli wanawake wa dar nouma sana tena wauaji vibaya mno
Kama hauna chakuchangia ni bora ukabakia msomaji tu kuliko kujidhalilishaWatu wa Chadema kwa mambo ya kike.. Huyu Ney alikua team ya wasanii wa Chadema
Duhh, yupo Chinaaa anakula bhatawema njoooooooo ujibu hizi shutuma