Ney wa Mitego amuuliza Idris Sultan mil. 500 zimeishaje?

Ila lakni hizi hela za big brother zina mashetani gani? Maana mhh. Hata sizitaki bure
 
So, mr.ney anataka apewe maelezo jinsi hela ya mwanaume mwenzake ilivyo2mika???...sio akili hio!
 
So, mr.ney anataka apewe maelezo jinsi hela ya mwanaume mwenzake ilivyo2mika???...sio akili hio!
Kwa sasa utamaduni wa kushobokeana na mashindano ya kijinga ndiyo fashion.

Kuna watu wanafurahi wakisikia fulani kafilisika.

Wajerumani wana neno maalum kwa tabia hii.

Schadenfreude.
 
sijui alinunua ama kukopeshwa,lakini mnaweza kukadiria ni kiasi gani..Location:Mbezi Beach
huyu jamaa nikimuangalia ni laini typical mfano wa wanaume wa dar. hivi anakula ugali kweli huyu?
 
Milioni 500 inaweza kuwa nyingi au ndogo kulingana na matumizi.

Waswahili walisema "Pesa bila daftari, hupotea bila habari".

MC Hammer na Mike Tyson walipata nyingi kuliko hizo na zimeyayuka.
Daaah! kumtaja MC Hammer umenikumbusha kibao chake Have you seen her?! Nimekumbuka zamani pale nilipokuwa sijui maana ya bili, sijui kwa nini watu wanafeli mitihani yaani acha tu.
 
Ningelikuwa mm ningechukua Tzs 350mil nafungua Fixed Deposit kila mwezi nakula interest

Mi 150 najenga nyumba na naanzisha biashara
Fixed depost!! Hujasikia bank zimeanza kufilisika. Umesahau ya ile benk iliyofilisika na hela za watu, kama sikosei ni Meridian biao. Siku hizi heri utafute pa kutunza utajiri wako lakini si bank, labda hali ikitengemaa baadaye.
 
Hizo pesa za BBA kama zina gundu vile maana wote waliopata hakuna aliyefanikiwa kujiongezea kipato zaidi ya kuzifuja na mwisho wa siku wanarudi ziro kama walivyokuwa.
 
Million 500 harafu eti sasa anapelekeshwa na ruge pale choice fm,yaani nipate million 500 harafu niajiliwe kutangaza? Maajabu.anyway jamaa alimvamia wema,nasikia wema alikuwa anahongwa million 10 kila wiki..
 
Alishindwa kujifunza kwa mr.nice xo ngoja wengine wajifunzie kwake.
 
Hakuna pesa nyingi kwa madam Wema hata ziwe znajaa kwa kontena yule dada co wa mchzo mchzo
Mi naona madam awakomeshe tu, mana wakipata mwanamke anayewahurumia wanakua na maneno ya karaha, mara utaambiwa umevaa wigi gumu km brashi ya viatu sasa kwa madam nywele tu ni km milioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…