Hakuna zawadi ya bure nyumba nzuri hivyo ya bure kitu kitu gani nyumaa
Huwwzi kupata mil 500 ukazipoteza halafu ukaja zipata tena hio ndo imetoka...Alifikiria kufuatwa na wanawake lukuki tena wenye majina ni kupendwa,ila akipata tena hatarudia!!!
Kweli hamnagaHakuna mchaga anaitwa sepetu mkuu
Watu wengi hawataki kujiuliza historia ya hawa wadada wa bongo movie au maisha yao kabla ya kuwa mastar yalikuwaje.Wanawake ni hatari sana hasa bongo movie wao sio tuu wanaigiza muvi bali hata maisha ya kawaida wakikuta mshamba kama idris wanakukomba zote mwishowe wana ku damp
Alifikiria kufuatwa na wanawake lukuki tena wenye majina ni kupendwa,ila akipata tena hatarudia!!!
Na ubora historia yao imejaa humu mitandaoni.Watu wengi hawataki kujiuliza historia ya hawa wadada wa bongo movie au maisha yao kabla ya kuwa mastar yalikuwaje.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]hivi ukutane na majabali kama sepetunga;
utabaki ni kitu?
Mie kitambo toka 1997 tulihamia kukiwa porini kabisa, nipo mitaa ya nyambizi mzeeKikubwa nachojua mimi swali liwe kubwa au dogo lazima mhusika(muulizwaji) ajibu hasa ukizingatia swali lenyewe lina uzito kwa jamii yetu
Mwaga ubuyu tu maana mbona inajulikana wazi kwa sisi wakazi wa hukutunasomana mkuu kumbe tupo jirani na hizo nyumba...
Mkuu you are so funny...hahahahaha..eti akipata tena...?Alifikiria kufuatwa na wanawake lukuki tena wenye majina ni kupendwa,ila akipata tena hatarudia!!!