Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Msanii nguli wa Hip Hop, Emmanuel Elibarik maarufu kama Ney wa Mitego anadaiwa kupokonywa magari mawili aliyokuwa ameyachukua kwa mkopo baada ya kushindwa kurejesha mkopo huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kaigiza kitu gani?Wasanii wetu wataacha lini haya maisha ya kuigiza...
Ona wanavyodhalilika mchana kweupe...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]True boy in the building....[emoji23][emoji23][emoji23]
Soon to be sound [emoji344] true manzi in the kitchen baibeeee.True boy in the building....[emoji23][emoji23][emoji23]
Who is mzeee wa Upako? Nyie ndio mnageuzwa mitaji na akina Gwajima upunguzege ujinga somtym na stori zako za manabiii wa Dot com.Arudi kwa mzee wa upako tunasubilia alishamtabiria atatembelea kucha
Kuna mahali nimekwambia uende we kimbulu? Kama humjui una coment nini kuna mahali tumezungumzia unabii au unatengeneza vi topic vyako acha ulevi mbwa weweWho is mzeee wa Upako? Nyie ndio mnageuzwa mitaji na akina Gwajima upunguzege ujinga somtym na stori zako za manabiii wa Dot com.
With the bank loanTrue boy in the building....[emoji23][emoji23][emoji23]
MUNGU ANAYE MWAMINI ATAMSAIDIA
Naamini hujafungua hii audioKiki tupu,hapo yaani kashika mike mwenyewe ili aeleze alivyofulia???acheni utani wajameni!!?,siku nyingi hajasikika,sasa ameona atoke na hii ishu,na kwa wabongo wanavyopenda umbeya,mishipa ya shingo imeishasimama