Ney wa Mitego apaokonywa magari 2 ya mkopo, ni baada ya kushindwa kulipa

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Msanii nguli wa Hip Hop, Emmanuel Elibarik maarufu kama Ney wa Mitego anadaiwa kupokonywa magari mawili aliyokuwa ameyachukua kwa mkopo baada ya kushindwa kurejesha mkopo huo

Kiki tupu,hapo yaani kashika mike mwenyewe ili aeleze alivyofulia???acheni utani wajameni!!?,siku nyingi hajasikika,sasa ameona atoke na hii ishu,na kwa wabongo wanavyopenda umbeya,mishipa ya shingo imeishasimama
 
Nanukuu moja kati ya verse yake..."nina magari mengi mpaka mengine siyaendeshi"
 
Arudi kwa mzee wa upako tunasubilia alishamtabiria atatembelea kucha
Who is mzeee wa Upako? Nyie ndio mnageuzwa mitaji na akina Gwajima upunguzege ujinga somtym na stori zako za manabiii wa Dot com.
 
Who is mzeee wa Upako? Nyie ndio mnageuzwa mitaji na akina Gwajima upunguzege ujinga somtym na stori zako za manabiii wa Dot com.
Kuna mahali nimekwambia uende we kimbulu? Kama humjui una coment nini kuna mahali tumezungumzia unabii au unatengeneza vi topic vyako acha ulevi mbwa wewe
 
Kiki tupu,hapo yaani kashika mike mwenyewe ili aeleze alivyofulia???acheni utani wajameni!!?,siku nyingi hajasikika,sasa ameona atoke na hii ishu,na kwa wabongo wanavyopenda umbeya,mishipa ya shingo imeishasimama
Naamini hujafungua hii audio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…