Ney wa Mitego asitelekezwe. Ndugu wapambanaji kulikoni?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Huyu ndugu tulikuwa naye kwenye mapambano. Asitelekezwe.

Screenshot 2023-09-08 111538.png

CHADEMA kama chama kilicho dhamiria kuikomboa nchi hii kinapaswa kuwa na sera ya wazi kuwahusu wahanga wake.

Kuwa na mfuko kwa ajili ya wahanga kutatoa majibu ya maswali muhimu yanayowasibu wapambanaji kama huyu.

Kulikoni hata masuala ya mawakili kuwa juu ya wahanga?

Wapambanaji kama hawa matatani, hakuwezi kuwa dili wala kutafsiriwa kuwa ni kujichumia janga.

Hawa walistahili huduma, first class.

==

Pia soma:

Nay wa Mitego aitwa BASATA

BASATA: Tulimzuia Nay wa Mitego kufanya shoo kwa kuwa amekataa wito wetu mara mbili

Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi
 
Mada Yako haijajitosheleza!.....

5W in Journalism...

Ney ni nani!?,
Amekutwa na tukio Gani!?
Akiwa wapi!?
Muda Gani!?
Wahanga wengine kwenye tukio kama wapo!?,
Kwa sababu Gani!?
Nini kifanyike!?
 
Huyu ndugu tulikuwa naye kwenye mapambano, asitelekezwe.

CHADEMA kama chama kilicho dhamiria kuikomboa nchi hii kinapaswa kuwa na sera ya wazi kuwahusu wahanga wake.

Kuwa na mfuko kwa ajili ya wahanga kutatoa majibu ya maswali muhimu yanayowasibu wapambanaji.

Kulikoni hata masuala ya mawakili kuwa juu ya wahanga?

Wapambanaji kama hawa matatani, hakuwezi kuwa dili wala kutafsiriwa kujichumia janga.

Hawa walistahili huduma first class.
Wacha wamtumie kama ndom
 
Mada Yako haijajitosheleza!.....

5W in Journalism...

Ney ni nani!?,
Amekutwa na tukio Gani!?
Akiwa wapi!?
Muda Gani!?
Wahanga wengine kwenye tukio kama wapo!?,
Kwa sababu Gani!?
Nini kifanyike!?

Mkuu huyo mwamba pichani si mgeni machoni au masikioni mwa wapambanaji ambao ujumbe huu umeelekezwa kwao.

Ujitosheleze vipi ujumbe huu kwako ndugu mjumbe kama ni tokea pande za pale Lumumba?
 
Kapewa kesi kwasababu ya wimbo aliotoa kwanini BASATA wasiufungie kama bado hawajaufungia ili kuzuia "tatizo" wanaloliona wao?

Kama walishaufungia Ney wanampa kesi ya uchochezi kwa sababu ipi nyingine? aliwachochea wakina nani na kwa njia ipi?

Kama BASATA bado hawajaufungia huo wimbo maana yake na BASATA nao wanatakiwa kuunganishwa kwenye hiyo kesi, kwani wao wameacha uchochezi usambae kwa ruhusa yao wakiwa kama walezi wa sanaa zetu.
 
Kuwashauri hao namna ya kutushughulikia tunapo komaa nao, ni kupoteza muda. Leo wa Mitego kesho Mwabukusi, Mdude, Madeleka, nk .. tunabakia kulia lia au tunakomaa nao sasa kama timu kamili?

Titausimamisha vipi ubazazi wao kwa woga uliopitiliza?

Kwa mwendo huu ni motisha ipi wanayo tunao wanyanyapaa wanaposhindwa ku react au kutokea mabarabarani?

Kwanini Chadema inakuwa kimya kuwahusu wahanga wa mapambano kama hawa?

Au ni ule mwendo wa kuwa hamisisha watu watokee mabarabarani yakiwakuta, tusijuane?
 
Aungwe mkono,

Mabadiliko yataletwa na kada zote.
Inategemeana kama hayo mabadiliko unayotaka yatakuwa na manufaa Kwa mtu na mtu.

Mtu kama Nay anaweza nibadilisha Mimi Kwa akili zipi alizonazo?
 
Wewe unayejua na kujitoa ufahamu huhitaji kuelimishwa chochote, maana umeamua kushikamana na upumbavu!!
 
Nikiona haya yanayofanywa na ccm nakumbuka yale yaliyofanywa na wapinga Kristo enzi zake.
Ni jambo la wakati tu watashindwa tena kwa AIBU.
 
Maneno matupu hayavunji mfupa. Tuwafanye je majizi na w**enge hao? Au tunamnusuru vipi huyu mwamba?

Tuungane nae! Na sisi tuwe kwenye hiyo kesi. Lini anaanza kusomewa mashtaka twende kizimbani nae pamoja ndugu Elibariki?! 🤔
 
Huyu ndugu tulikuwa naye kwenye mapambano. Asitelekezwe.

CHADEMA kama chama kilicho dhamiria kuikomboa nchi hii kinapaswa kuwa na sera ya wazi kuwahusu wahanga wake.

Kuwa na mfuko kwa ajili ya wahanga kutatoa majibu ya maswali muhimu yanayowasibu wapambanaji kama huyu.

Kulikoni hata masuala ya mawakili kuwa juu ya wahanga?

Wapambanaji kama hawa matatani, hakuwezi kuwa dili wala kutafsiriwa kuwa ni kujichumia janga.

Hawa walistahili huduma, first class.

==

Pia soma:

Nay wa Mitego aitwa BASATA

BASATA: Tulimzuia Nay wa Mitego kufanya shoo kwa kuwa amekataa wito wetu mara mbili

Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi
Ccm again??
 
Naunga mkono hoja ✔️ uwepo utaratib wa uchangiaji kweny mfuko maalum wa wahanga kama Ney, ikibid achangiwe binafsi ili kuendesha maisha yake na aendeleze hatakati!! Tupo tayar kutoa michango endelevu!
 
Back
Top Bottom