B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,056 Reaction score 10,721 Feb 19, 2017 #1 Akiongea kupitia Radio One, Kijana huyu amesema ameshaanza ujenzi wa kanisa hilo ambalo moja ya taratibu zake ni waumini kutotoa sadaka. Ni kuabudu tu! Kweli, Nyakati za mwisho wengi wataangamia na wengi pia wataokolewa.
Akiongea kupitia Radio One, Kijana huyu amesema ameshaanza ujenzi wa kanisa hilo ambalo moja ya taratibu zake ni waumini kutotoa sadaka. Ni kuabudu tu! Kweli, Nyakati za mwisho wengi wataangamia na wengi pia wataokolewa.
kirumonjeta JF-Expert Member Joined Feb 9, 2008 Posts 3,966 Reaction score 1,965 Feb 19, 2017 #2 Hapo kwenye kutotoa sadaka ndo penye tatizo
Maguge Maguge JF-Expert Member Joined Sep 1, 2016 Posts 2,734 Reaction score 1,778 Feb 19, 2017 #3 weka ushahidi wa habari hii! chanzo, link nk.
Ilankunda1234 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 4,841 Reaction score 4,797 Feb 19, 2017 #4 Mtoa uzi unakimbizwa na nini lakini?? Embu tulia uje uandike upya aseww
ShyaRuwa JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 7,895 Reaction score 13,643 Feb 19, 2017 #5 Baada ya unga kubuma biashara ya kanisa itavuma sana.
chaUkucha JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,382 Reaction score 1,214 Feb 19, 2017 #6 Ilankunda1234 said: Mtoa uzi unakimbizwa na nini lakini?? Embu tulia uje uandike upya aseww Click to expand... Labda alikuwa anataka awe wa kwanza kupost
Ilankunda1234 said: Mtoa uzi unakimbizwa na nini lakini?? Embu tulia uje uandike upya aseww Click to expand... Labda alikuwa anataka awe wa kwanza kupost
Ilankunda1234 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 4,841 Reaction score 4,797 Feb 19, 2017 #7 chaUkucha said: Labda alikuwa anataka awe wa kwanza kupost Click to expand... Sasa kwa staili hii anaweza kuwa kwanza kutoka alipotokea
chaUkucha said: Labda alikuwa anataka awe wa kwanza kupost Click to expand... Sasa kwa staili hii anaweza kuwa kwanza kutoka alipotokea
Mwanga Lutila JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 4,208 Reaction score 14,143 Feb 19, 2017 #8 Biashara ya Kanisa inalipa sana.