Ney wa Mitego awacheka wasanii wanaopewa magari na lebo

Ney wa Mitego awacheka wasanii wanaopewa magari na lebo

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Kutoka kwenye insta story ya Rapa Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameandika; “Yani kujifanyaga mnawapa magari ooh label kubwa alau mkishindwana mna wapokonya magari yenyewe tena wasanii kwa wasanii.



Ndio mjifunze wasanii wapenda magari ya bure wakati mna vipaji na wakati mkikomaa mnaweza kununua ya kwenu kwa hela zenu coz muziki huu una hela huu ndio maana wao wanaweza hata kuwadanganya na hayo magari na kuwadharirisha kwa kuwapokonya. Hunijui limeboa soon napiga tour najinunulia ligari langu lingine likubwa,” ameandika Nay.

Unahisi Nay amelenga wasanii gani au label gani ambao wanawapa magari wasanii wao na kuwanyang’anya??

images (5).jpeg
 
Hapa sio Country Boy anazungumziwa!? Maana alipojiunga Konde Gang alikabidhiwa gari. Je , baada ya kuondoka bado yuko na gari?
 
Back
Top Bottom