Ney wa Mitego: JB naye ni kicheche kama Wema Sepetu na Aunt Ezekiel

fabinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
3,042
Reaction score
2,221

Msanii wa muziki hapa nchini, Ney wa Mitego jana amemuangushia bomu muigizaji wa filamu nchini, Jacob Steven aka JB kuwa hana tofauti na waigizaji wa Bongo Movies anaowachukulia kama vicheche.

Kauli hiyo ameitoa jana kwenye kipindi cha Hot Mix cha EATV baada ya hivi karibuni kukwaruzana na JB jijini Mwanza kwenye ziara ya Fiesta. Inadaiwa kuwa Ney alimwita Wema kicheche jukwaani jambo lililomfanya muigizaji huyo kukwaruzana na Ney.

“JB alikuwa kama mtoto mdogo au ulifika time wacha tu niliongee hili,” alisema Ney.

Ilifika time nikasema JB simtofautishi na wale akina Aunty Ezekiel sijui akina Wema kwasababu unajua mtoto wa kike ni dhaifu unajua, mimi nilimsamehe Aunt Ezekiel na Wema pia, sababu Wema na Aunty Ezekiel ni watu waliotaka kugombana na mimi, niliwasamehe palepale.

Nachokisema sio kama nabahatisha, nakuwa na uhakika nacho. JB na Ray ilibidi waungane pamoja wanifuate, ‘bwana unajua mimi ni dogo kwao’ lakini labda tunashindana tu vitu fulani, ukubwa wa umri si tatizo.”

Uhusiano mbaya kati ya waigizaji wa filamu nchini na Ney ulianza baada ya rapper huyo kudai kwenye wimbo wake‘Nasema Nao’ kuwa makahaba wenye kiwango wapo kwenye Bongo movies.

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Naona jamaa kawavalia njuga kweli kweli,hahahahaha!!!
 
Huyu Ney na yeye Demu wake Nisha si yumo kwenye Tasnia ya bongo movie? Na yeye(Ney) anawachukua hao hao mayala wa viwango!!
 
huyu jamaa ana jinsia ya kiume lakini ana tabia za kike.. kila siku kusutana na kuwasema wenzake, mi nadhani taarabu ingempendeza zaidi kuliko HIP HOP na angewika mno maana vijembe anavifahamu.
 
Charity begins at home aanze kwanza kumrekebish ma**ya mweny kiwngo aliyekuw karibu yk(Nisha) kbla hajaenda kw wngn.Nafikr atakuw amefny jambo la mbolea sn.2namtakia kila la kheri.
 
Huyu Ney na yeye Demu wake Nisha si yumo kwenye Tasnia ya bongo movie? Na yeye(Ney) anawachukua hao hao mayala wa viwango!!

huyo Nisha(Salma Jabu) nimesoma nae o level huyo demu nae ni kahaba mzuri tu namjua nje ndani tupo form three ana mtoto sasa yeye(Ney) sijui anapata wapi ujasiri wa kuwanyooshea vidole hawo malaya wengine
 
Mbona ney alimkana hadharani akasema hana uhusiano nae wa kimapenzi(hot mix)?

Serious nililishwa tango pori,et Ney wa mitego ni mdada wa THT, nilipoambiwa ni mwanaume nilibisha hadi nkang'ata vidole. Lol kumbe ni wakiume! Sasa atajifananisha na Jitu Big JB, mbona vichekesho
 
Mbona ney alimkana hadharani akasema hana uhusiano nae wa kimapenzi(hot mix)?

unadhani anaweza sema hadharani, au hauijui tabia ya ma celebrities wetu wengi ila ukweli ndio huo kwamba hata huyo Nisha sijui maana mi nimezoea kumita salma Jabu hana tofauti na hao anaowanyooshea vidole
 
lazima kuna kilevi kikali sana kimeathiri ubongo wa Ney
 
Ney kumbe ni mwanaume? Nilidhani ni demu.
 
Mibange hiyo.....na kulazimisha umaarufu hana lolote
 
celebrities!!!
Mnajichoshaga kuwafuatilia hawa mataahira i think if itwz not jf i cld not find dis new types of dumbz oops its startin point of IT growin in TZ dats y shrinkminded people appear on news covers!
 
unafikiri basi twawafwatilia?habari zaja zenyewe 'on the finger tips'
 
Charity begins at home aanze kwanza kumrekebish ma**ya mweny kiwngo aliyekuw karibu yk(Nisha) kbla hajaenda kw wngn.Nafikr atakuw amefny jambo la mbolea sn.2namtakia kila la kheri.

hiyo hata mimi inanishangaza sana,anawasema wakati nae kashikwa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…