Serious nililishwa tango pori,et Ney wa mitego ni mdada wa THT, nilipoambiwa ni mwanaume nilibisha hadi nkang'ata vidole. Lol kumbe ni wakiume! Sasa atajifananisha na Jitu Big JB, mbona vichekesho
Ney ni mwimba taarabu ngumu, I mean siyo kama ile ya akina Asha Mashauzi.
sure thing wanajidai ck cjui domo.cjui blabla lakn ukiangalia sana ni ukahaba tu huu.hawana tofauti na wale wa sewa .kimboka na kwengneko
una joto ww c bure
yanini kuifukunyua thread iliyochuja ?
una joto ww c bure
yanini kuifukunyua thread iliyochuja ?
Huyu Ney na yeye Demu wake Nisha si yumo kwenye Tasnia ya bongo movie? Na yeye(Ney) anawachukua hao hao mayala wa viwango!!
Wee waache wazungukane kama wanazunguka mbuyu,huyo dogo anata sifa na kuandikwa kwenye magazeti,badala ya kazi zake ndio zizungumze yeye kakalia kuwasema wenzake utadhani yeye ndie msafi,kajipa madaraka ya kuwasema wenzake wakati naye ni walewale,sijuianajiona yeye ni nani hadi awanange wenzake,ningekuwa mimi ningempeleka mahakamani ili liwe fundisho ,ni makosa kusema uongo na kumsema mtu maneno ya kumvunjia heshima mbele ya jamii.
sure thing wanajidai ck cjui domo.cjui blabla lakn ukiangalia sana ni ukahaba tu huu.hawana tofauti na wale wa sewa .kimboka na kwengneko
Kilichokufanya ufungue thread ya analogy ni nini,unawashwa?
hivi ney sio neema?neema wa mitego!!!!!!eti gangsta!