Ney wa Mitego kaja na Rais wa kitaa

kigogo warioba

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
6,048
Reaction score
9,398
Nay ameamua kusema kile ambao wasanii wetu wengi wanakiogopa

Kweli ney ni rais wa kitaa..

Nimependa mistari iliopo kwenye wimbo huu na ni mzuri kusikiliza
Big up kwake
Mara nyingi hua yupo upande wa wananchi!


 
Tunapenda ngoma kama hizi
Watu wanaguswa,siyo hao wengine
Wanaimba "inama nchomeke"
Nkupake mafuta,yalah sjui
Blshyt tpu

Ova
 
Sukari imepanda bei luku, Tozo pesa wapi nikakope. Nani atusemee semee sisi wanyonge
 
Aisee respect True Boi, dogo alieimba chorus kasimama.
 
Sukari imepanda bei luku,
Tozo pesa wapi nikakope
Nani atusemee semee sisi wanyonge
Nani atusemee semee sisi wanyonge


Sukari imepanda bei luku,
Tozo pesa wapi nikakope
Sheri buku mbili yangu
wameikataa chombo niikokote
Nani atusemee semee sisi wanyonge
Nani atusemee semee sisi wanyonge
 
Jamaa ni hatari mnoo.
Ni level ya juu sana.
Ujumbe, burudani na harakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…