Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kashasema marinda ya kwny sket au hata suti.na huu ndio utata wa nyimbo ya jamaa anaposema kuna watu hawana marinda ana maanisha nini.
NGUMU KUMESA KITAELEWEKA TU NI MARINDA GANI ALIKUA ANAMAANISHAKashasema marinda ya kwny sket au hata suti.
Yaan watu hawana marinda, we elewa hvyo tu mkuu
Huna, wahuni wameshayatatuaDaaaah sijui nami nina marinda au
Yani wewe hahaaa!!Mwanaume rinda babu
Ahahhahaah hana hata moja?Yani wewe hahaaa!!
Wanawake je?! Naskia yule demu wa bashite mwenye 'zigo remix' hana rinda la sketi.