MALEBO
Member
- Oct 5, 2012
- 64
- 14
Hivi ni kweli kabisa BASATA wameguswa na milegezo ya Ney wa Mitego mpaka kumwandikia barua ya onyo,au kuna kitu kingine behind the scene??na Kama wameamua kufatilia maadili nadhani walitakiwa kuanzia Bongo movies,mi nadhani wanataka kumu intimidate tu kijana wa watu ambaye anaimba kitu anachokifikiria,na kama ni hivyo wapi freedom of speech Tanzania??R I P sanaa ya bongo!