Mzanzibar Halisi
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 284
- 106
Nimesikiliza huu wimbo mpya wa ney wa mitego unaitwa mr nay.Anasema bongo nzima hip pop anafanya yeye wengine cjuwi wanaRap nini zaidi ya ubabaishaji?.Tena huyu jamaa kazidi kukufuru anasema anajulikana duniani,kuzimu mpk akhera na maneno mengi tu kaongea humo ndani.Na kama kawaida yake kadiss wasanii wenzake kama yeye mkali wa Hip pop yake ina ujumbe gani? Mtazamo wangu huyu jamaa sio kioo cha jamii anapotosha kizazi hichi kwa nyimbo zake hasa ile nakula ujana.BASATA iko wapi?
Ney anaimba Taarabu
LOL!! watu wana manenoNey anaimba Taarabu Ngumu
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Huyu mtu ananikera mimi,basi tu nimemuheshimu baada ya kuuona mjengo wake
Ney anaimba Taarabu Ngumu
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums