Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
yap ndivyo hivyo ilivyo, kila mtu ana akili yake kubwa ya kupata fedha,,, hapo jaribu kufuata mkumbo ufe...huyu jamaa hata kabila analotoka linambeba, anatoka kwenye kabila la wachapa kazi na wenye akili kubwa za kusaka noti... mcheki barnaba na ney wote wanatoka kabila moja pia ni miongoni mwa wasanii wenye pesa chafu na mali lukuki... **note**.. siyo lazima ujue njia mtu anazotumia kupata pesa, ukijua unaweza kumzibia riziki ndio maana inakua siri waafrika ni hatari na ndivyo tulivyo..Katika wasanii ambao naona gharama wanazozitumia ktk video zao na kile wanachokiingiza kutokana na muziki wao naona havilingani,basi huyu ni mmojawapo. Maana anatumia pesa nyingi sana na ana maisha makubwa mno kuliko kipato cha muziki wake.
hivi ni kabila gani Huyo kijanayap ndivyo hivyo ilivyo, kila mtu ana akili yake kubwa ya kupata fedha,,, hapo jaribu kufuata mkumbo ufe...huyu jamaa hata kabila analotoka linambeba, anatoka kwenye kabila la wachapa kazi na wenye akili kubwa za kusaka noti... mcheki barnaba na ney wote wanatoka kabila moja pia ni miongoni mwa wasanii wenye pesa chafu na mali lukuki... **note**.. siyo lazima ujue njia mtu anazotumia kupata pesa, ukijua unaweza kumzibia riziki ndio maana inakua siri waafrika ni hatari na ndivyo tulivyo..
Hapana,ni mchaga huyo.Wapenda sifa wa mbeya wanyakyusa
kumbe ni mangiHapana,ni mchaga huyo.
duh kumbeWapenda sifa wa mbeya wanyakyusa
baba mchaga mama mnyakyusa.... hizo inherited characters hapo si mchezo chaga+nyakyusahivi ni kabila gani Huyo kijana
ninafahamu mijengo yake miwili ya maana na kuna mjengo mwingine mkubwa uko kwenye finishing hizo ndizo ninazojua but nasikia anazo zaidi ya hapo.. hivyo ndivyo wanamuziki wanatakiwa kufanya sio kula ngada kama wakina ...........Jamaa anasaka pesa hatari kuanzia kumiliki bajaj na saloon mpaka macoaster mjini sio mchezo jamaa anakula bata ndo maana mamiziki yake anatuka tu hata kama hatumpendi bhasi tutacheka
abstractive theory.yap ndivyo hivyo ilivyo, kila mtu ana akili yake kubwa ya kupata fedha,,, hapo jaribu kufuata mkumbo ufe...huyu jamaa hata kabila analotoka linambeba, anatoka kwenye kabila la wachapa kazi na wenye akili kubwa za kusaka noti... mcheki barnaba na ney wote wanatoka kabila moja pia ni miongoni mwa wasanii wenye pesa chafu na mali lukuki... **note**.. siyo lazima ujue njia mtu anazotumia kupata pesa, ukijua unaweza kumzibia riziki ndio maana inakua siri waafrika ni hatari na ndivyo tulivyo..
Dah!! Kumbe ndo hivyo? Niombee ka kolabo basi!! Kuna sumu nataka niteme.Nyimbo itaiponda uongozi wa JPM, NEY ni team Lowasa hilo linajulikana
okabstractive theory.