issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
Wadau,
Ney wa Mitego baada ya kuachana na Siwema ametoa kali ya mwaka kuwa ukiachana na mwanamke usikimbilie kutafuta mwingne haraka maana hata huyo utakaembilia utaachana nae.
Wadau hii ni sahihi