Hii imekaa kicelebrity zaidi..... nyway... inaitwa bouncing back ...ni mbaya sana kwa sababu ome is acting under emotions than kutumia akili yake. Anajaribu kuziba pengo la upweke pasipokuwaza pengine ndo anaingiza mdudu pekepeke atakaezidi kulipekecha pengo hilo.....
Time always is a very good healer