Ney wa Mitego vs Rita mahakamani

upendo_20

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
1,433
Reaction score
48
Baada ya Ney Wa Mitego kutoa Track ya Salam Zao, Kuna tetesi Kuwa Muandaaji wa BSS Madam Rita anampango kumfungulia Kesi ya Madai Ney wa Mitego kwa Kumchafua (Defamation) kwani eti alisema Madam Rita huwa hatoi zawad anazoziahidi kwa washindi wa shindano lake la kusaka Vipaji.

Je, Kama ni kweli kuhusu Kesi hii Ney wa Mitego ataweza kulipa milioni 500?

Tayari msanii huyo amesema yuko tayari kwenda mahakamani na ataweka mwanasheria wa kumtetea.

Vp ww unauongeleaje uimbaji wake?
 
Madam rita kakaa kipigajipigaji hizo mil.50 anampa mshindi si zaid ya mili.10, na nnavojua atatoa testimony kwa kutumia washindi wa bss na atawalazimisha waseme walipewa 50mil ney wa mitego is a 100% right,
 
Wafukua makaburi

Hivi alienda mahakamani?
 
Daah! Lisemwalo lipo kama halipo lajongea laja.


Alexander The Great
 
Daah technology ni balaaa


The true revolution comes from inside yourself....!
 
Madam rita kakaa kipigajipigaji hizo mil.50 anampa mshindi si zaid ya mili.10, na nnavojua atatoa testimony kwa kutumia washindi wa bss na atawalazimisha waseme walipewa 50mil ney wa mitego is a 100% right,
Daah mkuu kumbe ulikuwa sahihi
 
ETI MWANAMKE WA NGUVU HAHA MY FOOT

HAPO LAZIMA KUNA MIKONO YETU KAMA VIDUME SA SIKU HIZI HAKUNA KULIPA TENA MZEE MWENYE MKONO WA KUM PUSH KASHAENDA MBELE ZA HAKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…