Josephine03
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 752
- 302
Madhara ya kuwa na jina la kike!mtoto wa kiume huwezi kuleteana beef na mabinti!
Kakako TID anamind watu kujiita wanyama!!full kutimba wanyama na masingle button ya kadinda anasema yeye hawezi kuvaa vitambaa vya macarpet!hahhahah!!rich mavoko angekuwa ana sura ya mamake angeteka jiji!dogo anajua sana!halafu anapita mulemule kama domo!Unanyama Unyamani,Nyimamadogookumanga!
Jamani kwani nimesema nawachukia? Nimeuliza tu niwajue.Vipi nawewe unatafuta umaarufu kupitia hao nini? Wakubali hata kama huwapendi wenzio wametumia vipaji vyao kujitangaza.
Mkuu niambie ndo kina nani hao??Daudi Daudi Daudi...
We haya we.
Kakako TID anamind watu kujiita wanyama!!full kutimba wanyama na masingle button ya kadinda anasema yeye hawezi kuvaa vitambaa vya macarpet!hahhahah!!rich mavoko angekuwa ana sura ya mamake angeteka jiji!dogo anajua sana!halafu anapita mulemule kama domo!
Nipeni jina la hiyo blog ya Sinta jamani hata kwakuniPM, naona blog zimekuwa nguzo za kuwarudisha ulingoni waliopotea
Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
Ndo kina nani hao??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kakako TID anamind watu kujiita wanyama!!full kutimba wanyama na masingle button ya kadinda anasema yeye hawezi kuvaa vitambaa vya macarpet!hahhahah!!rich mavoko angekuwa ana sura ya mamake angeteka jiji!dogo anajua sana!halafu anapita mulemule kama domo!
Haaa TID anaua sana kwenye media ila namkubali sana Stamina,country boy na Suma mnazaleti style zao bomba sana!! Mavoko nyago aliuziki.
Kakako TID anamind watu kujiita wanyama!!full kutimba wanyama na masingle button ya kadinda anasema yeye hawezi kuvaa vitambaa vya macarpet!hahhahah!!rich mavoko angekuwa ana sura ya mamake angeteka jiji!dogo anajua sana!halafu anapita mulemule kama domo!
sasa hao uliowataja nao ni wasanii!!!???si bora ata ya Mavoko!
Uyo Stamina sijawai kumkubali ata,msanii lazima uwe na utamu sio mistari kama ngonjera...country boy amshukuru sana braza ake seydou ndio anaempush ila ni msanii wa kutengeneza...Suma kisauti hadi Lunduno walimfukuza hana mashairi wala mitambao ya kueleweka.

acha umang'aa chali wangu cha ajabu nini kwana wao wamekuwa YESU na mama yake mariam kila mtu awajue hata mim huyo wa mitego cmjui.