kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,462
Neema wa Mitego naye punga tu
Neema wa Mitego naye punga tu
Nani kakwambia punga hawezi kuzalisha?Ana mtoto, je wewe unae mtoto?
Kama unae kapime DNA maana yeye kapima DNA
KwaniniThread hii ifungwe
Nani kakwambia punga hawezi kuzalisha?
Si mtoto watoto [emoji123] [emoji123] [emoji123]Ana mtoto, je wewe unae mtoto?
Kama unae kapime DNA maana yeye kapima DNA
Thread hii ifungwe
Mods wanaweza kuufunga maana Uzi wangu leo had muda huku umebaniwa kisa kuulizia u kimya was viongoz was kanisa juu ya uchaguz was zenjiThread hii ifungwe