Neyma amwaga povu..afungiwa

Neyma amwaga povu..afungiwa

Write your reply...
ila tuseme tu ukweli man u wanacheza sana na waamuzi
we angalia mechi ya Fa robo fainali against chelsea,jamaa walikuwa wakipga rafu ile mbaya,matic alikuwa anapewa red mapema tu,rashford nae
angalia mechi na southampton

tozi yuko sahihi
Umewahi kuchezesha mpira hata wa kijijini mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna adhabu ya kutoshiriki kwa muda kadhaa au kutoshiriki kwa mechi kadhaa. Kama ni muda, utaendelea kuhesabika hata kama timu haishiriki (mfano Mtibwa Sugar ilifungiwa miaka mitatu CAF competitions na haikupata tiketi, muda ukaisha, mwaka jana ikashiriki). Kama ni idadi ya mechi, utazitumikia timu yako ikibahatika kupata nafasi ya ushiriki hata miaka ipite mingi
Shukran kwa maelezo yako mkuu
 
Back
Top Bottom