Ilikuwa ni katika mechi kati ya Santos na Flamengo. Ronaldinho alifunga magoli 3. Ila kinachokumbukwa zaidi ni goli hili la Neymar.
VIDEO: Brazilian will cost gazillions after wonder goal - The West Australian
World Football - Video: Neymar wonder goal in nine-goal thriller - Yahoo! Eurosport
Neymar scores wonder goal for Santos - Yahoo! Eurosport UK
Mkuu ungeweka na hii ili tuone magoli yote, free kick ya Dinho ni nzuri sana.
‪Santos vs Flamengo [4:5] All Goals & Highlights - Neymar vs Ronaldinho - The Show! - 27/07/2011‬‏ - YouTube
<br />Neymar noma, umeona lakini hiyo assisti yake ya goli la pili - ilikuwa iwe hat trick!