Neymar aumia kifundo cha mguu akiwa uwanjani

Neymar aumia kifundo cha mguu akiwa uwanjani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mchezaji wa PSG, Neymar (29) ameumia kifundo cha mguu wakati timu yake ilipokuwa ikichuana na klabu ya St Etienne katika dimba la Geoffroy-Guichard na kushinda kwa goli 3-1

Neymar alionekana kuugulia maumivu makali na kuonekana akilia pia katika tukio hilo lililotokea dakika 5 kabla ya kipenga cha mwisho

Mshambuliaji huyo alitolewa nje kwa machela na hadi sasa hakuna ripoti rasmi ya ila ripoti ya awali inaonesha ameumia kwa kiwango kikubwa
 
Huyu dogo ikikaribia birthday ya dadake anaanza vi2ko vyake [emoji1787] but,cna uhakika ka nikweri ameumia.
.
universo__calcistico-20211129-0001.jpg
 
Back
Top Bottom