Neymar aumia kifundo cha mguu akiwa uwanjani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mchezaji wa PSG, Neymar (29) ameumia kifundo cha mguu wakati timu yake ilipokuwa ikichuana na klabu ya St Etienne katika dimba la Geoffroy-Guichard na kushinda kwa goli 3-1

Neymar alionekana kuugulia maumivu makali na kuonekana akilia pia katika tukio hilo lililotokea dakika 5 kabla ya kipenga cha mwisho

Mshambuliaji huyo alitolewa nje kwa machela na hadi sasa hakuna ripoti rasmi ya ila ripoti ya awali inaonesha ameumia kwa kiwango kikubwa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚neymar anapenda kulia ovyo mara paap yupo kwenye viwanja vya starehe full shangwe. Akimalizana na soka aende kwenye uigizaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…