Neymar: Barcelona yabariki harakati zake za kujiunga na PSG

Maisha lazima yasonge!!

Hata ronaldo aliondoka man united!!

Kwa hizo pesa hata angekua messi angekubali!!
 
Mbrazil Neymar amepata ruhusa ya kujiunga na PSG.
 
kwa nn mam u na sisi tusichukue hyu mtoto....
 

Neymar da Silva Santos Junior.

Neymar da Silva Santos Junior amekwishakamilisha usajili wake na PSG na atakuwa akilipwa kiasi cha Euro 865,000 sawa na Euro milioni 43 kwa mwaka baada ya kulipa kodi.

Neymar anatarajiwa kutambulishwa rasmi na timu yake mpya ya PSG siku ya Ijumaa wiki hii.

Usajili wa Neymar ndiyo usajili ghali zaidi kuwahi kutokea katika historia ya usajili wa mchezaji yoyote yule wa mpira wa miguu duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…