Neymar could face two-year jail term

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Muendesha Mashtaka huko Hispania ametaka Mwanasoma mahiri wa Klabu ya Barcelona afungwe miaka miwili Jela na alipe faini ya Shilingi Bilioni 21.8 baada ya uhamisho wake kutoka Klabu ya soka ya Santos ya nchini Brazil kugubikwa na rushwa.

Aidha muendesha mashtaka huyo ametaka pia aliyekuwa rais wa klabu hiyo Jose Perals ahukumiwe miaka 5 kwa kuhusika na kashfa hiyo na kusema kuwa rais wa sasa wa klabu hiyo Josep Maria Bartomeu afutiwe mashtaka.

=======
Spanish prosecutors are pushing for a two-year jail sentence for the Barcelona forward along with an £8.5m fine

Spanish prosecutors are seeking a two-year prison sentence for Barcelona forward Neymar along with a $10.6m fine for his part in a corruption case that surrounds his controversial move from Santos to Barcelona in 2013, a court filing said.

Judge Jose Perals also called for a five-year sentence for former Barcelona president Sandro Rosell and a fine of €8.4m (£7.1m) for the club, but called for charges against current president Josep Maria Bartomeu to be dropped.

The case stems from a complaint by Brazilian investment group DIS, which owned 40 per cent of Brazil forward Neymar's transfer rights and which alleges it received less money than it was entitled to as Barca concealed the real transfer fee.

Barcelona have been engulfed in legal troubles over Neymar's transfer since 2013. Rosell resigned as the club's president in 2014 for his role in the affair and testified in court in February alongside Bartomeu, Neymar and Neymar's father.

The club struck a deal with prosecutors in June to settle a separate case and paid a €5.5m (£4.7m) fine and avoided trial on charges of tax evasion over the transfer.

Barca thought they had brought the affair to a close when judge Jose de la Mata archived the case in June, although Spain's public prosecutor successfully overturned the ruling in September, allowing the case to proceed.

Prosecutors are also calling for a two-year jail sentence for Neymar’s father, Neymar Sr, and a one-year term for the player’s mother, Nadine da Silva.

However, Neymar is unlikely to serve any prison time if he is convicted as, under Spanish law, any sentence of two years or under in duration can be suspended. Neymar’s teammates, Lionel Messi and Javier Mascherano, have both received prison sentences of 21 months and 12 months respectively after being found guilty of tax fraud, which were suspended and resulted in neither serving any jail time providing they do not offend again during their suspended sentences.

Messi was convicted in July this year for tax fraud and both he and his father, Jorge Messi, were sentenced to 21 months in prison. Neither have served time in jail though due to the suspensions to their sentence, with Messi ordered to pay €1.7m in fines over three counts of tax fraud, while his father had to pay €1.3m.

Neymar has already paid 188.8m Brazilian reals [£36m] after he was found guilty of tax evasion by a Brazilian court. Neymar was found to have failed to pay the tax due on his earnings from contracts with former club Santos, Barcelona and Nike from 2011 until 2013.

Source: Reuters
 

Waendesha mashtaka nchini Uhispania wamemtaka mshambuliaji wa Barcelona Neymar kuhudumia kifungo cha miaka miwili jela kufuatia kuhusika kwake katika kesi ya ufisadi kuhusu uhamisho wake kutoka klabu ya Santos nchini Brazil mwaka 2013.

Jaji Jose Perals pia ametaka aliyekuwa rais wa Barcelona sandro Rosell kuhudumia kifungo cha miaka mitano jela mbali na kupigwa faini ya Yuro milioni 7.2 kwa klabu hiyo.

Imetaka kutupiliwa mbali kwa mashtaka dhidi ya rais wa sasa wa klabu hiyo Josep Maria bartomeu.

Rosell,Neymar na babake wanatarajwa kushtakiwa.

Kesi hiyo inatokana na malalamishi ya kundi la uwekezaji la Brazil DIS ,ambalo linamiliki asilimia 40 ya haki za uhamisho wa Neymar na linadai lilipata fedha chache ikilinganishwa na zile lililotarajia.

Rosell alijiuzulu kama rais wa klabu hiyo mwaka 2014 kwa jukumu lake katika uhamisho huo na kutoa ushahidi mahakamani mnamo mwezi Februari pamoja na Bartomeu,Neymar na babake Neymar.

Chanzo; BBC
 
Mmh ila wachezaj wa barcelona wezi kweli

Mara wasilipe kodi, mara wawadhulum watu, ndio maana wanafungwa hadi na Alaves sku hizi.
 
Inaonekana hiyo club ya barcelona imejaa urasimu na ukanjanja, hiyo ni club kubwa na wachezaji wake pamoja na timu kwa ujumla wana mapato makubwa lakini kunakosekana uaminifu kwenye mambo ya malipo, kuna lile sakata la Messi na bado si ajabu kuna wachezaji wengine wana magumashi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…