luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Kwani Tz haiko EA?Teh..wewe ni Mkenya??
Kwanini usiseme tu Tanzania why EA?
Wewe ni Mtanzania?Kwani Tz haiko EA?
they have brainOna waandishi wa habari wa Kenya wanabadili jina la Tanzania kuwa East Africa.
forsho!!!they have brain
Fake NewsYes Neymer Jr PSG and brazilian football player is expected to visit serengeti national park in Tanzania. Via his social network account Neymer has confirmed that he will visit serengeti for holiday
Kulazimisha nyekundu kuwa nyeupe sio akili ni upumbavuthey have brain
Itasaidia nini sasa hata ukisema anakuja east Africa haibadilishi ukweli anakuja Tanzania. Naona kama utoto tuthey have brain
Neymer ndo nan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
its all about business,hayo ya ukweli anakuja tz utajua wewe. umesahau ya mlima kilimanjaro?!?.Itasaidia nini sasa hata ukisema anakuja east Africa haibadilishi ukweli anakuja Tanzania. Naona kama utoto tu
inawezekana kweli ukawa upumbavu, but not in business. Unakumbuka mafanikio makubwa waliyopata kwa kutumia jina la mlima kilimanjaro?.watalii walikuja wakatua nairobi halafu wakaletwa kwa shuttle za kenya moshi na arusha halafu wakarudi nairobi.Kulazimisha nyekundu kuwa nyeupe sio akili ni upumbavu