Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijasema bali nimeuliza swali....haujaona hiyo alama ya kuuliza?Wewe ndo wasema hivo
Huo ndio ukweli NEYMAR NI BORA MARA KUMI ZAIDI YA MMOROCOSijasema bali nimeuliza swali....haujaona hiyo alama ya kuuliza?
Sababu ni swala la mtazamo basi sawa.Huo ndio ukweli NEYMAR NI BORA MARA KUMI ZAIDI YA MMOROCO
Aisee..........tutachoshana mana yaelekea haujui tofauti ya swali na sentesi ambayo si swali........Kwani kuuliza Usemi?!!?
Ya Messi yamebuma?Hongera Kwa neymer Kwa mafanikio aliyapata akiwa bado kinda ukilinganisha na cr7 Ana makombe 19 akiwa na miaka 24 wakati cr7 Ana makombe 19 akiwa na miaka 31
Aya umeshinda[emoji122] [emoji122]Hahaha utachoka wewe usiye jua. Kwani swali sio sentensi?!?!?!!!
Achana nae mbugila huyo.Kwahiyo hapo unataka kusema Neymer ni bora zaidi ya Cr7?[emoji15]
Kwa kweli......wanafananisha tembo na sisimizi......Cr7 baba lao.....Achana nae mbugila huyo.
Huku ni kumvunjia heshima mfalme Cr7.
Mwanzo walimpambanisha na Messi,Messi kaangukia pua wanaleta drama nyingine.
Hutaki acha[emoji23] [emoji23] eti cr7 mfalme??!!