Neymar na Cr7 mafanikio yao

All TRUTH

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
5,453
Reaction score
2,569
Hongera Kwa neymer Kwa mafanikio aliyapata akiwa bado kinda ukilinganisha na cr7 Ana makombe 19 akiwa na miaka 24 wakati cr7 Ana makombe 19 akiwa na miaka 31
 
Reactions: PNC
Hongera Kwa neymer Kwa mafanikio aliyapata akiwa bado kinda ukilinganisha na cr7 Ana makombe 19 akiwa na miaka 24 wakati cr7 Ana makombe 19 akiwa na miaka 31
Ya Messi yamebuma?
 
Aisee..........tutachoshana mana yaelekea haujui tofauti ya swali na sentesi ambayo si swali........
Hahaha utachoka wewe usiye jua. Kwani swali sio sentensi?!?!?!!!
 
Acheni kumfananisha Cr7 na vitu vya kijinga.
Neymar bado anayo safari ndefu,afikishe japo miaka 27 akiwa ktk 'form' ndio atushawishi.
 
Kwahiyo hapo unataka kusema Neymer ni bora zaidi ya Cr7?[emoji15]
Achana nae mbugila huyo.
Huku ni kumvunjia heshima mfalme Cr7.

Mwanzo walimpambanisha na Messi,Messi kaangukia pua wanaleta drama nyingine.
 
Achana nae mbugila huyo.
Huku ni kumvunjia heshima mfalme Cr7.

Mwanzo walimpambanisha na Messi,Messi kaangukia pua wanaleta drama nyingine.
Kwa kweli......wanafananisha tembo na sisimizi......Cr7 baba lao.....
 
Achana nae mbugila huyo.
Huku ni kumvunjia heshima mfalme Cr7.

Mwanzo walimpambanisha na Messi,Messi kaangukia pua wanaleta drama nyingine.
[emoji23] [emoji23] eti cr7 mfalme??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…