Neymar na Cr7 mafanikio yao

Unataka chukua hahahahaha wenyewe wanakula raha huko wala hawajui kama kuna watu wamejifunika shuka huku wanawajadili .
 
wewe usirudie tena kuuliza majibu badala ya maswali.kumfananisho CR7 na neymer sawa na kusema tumfananishe MAVUGO na messi..usirudie tena..CR7 ni zaidi ya neymar mara kumi..
wewe mfananishe CR7 na messi
 
Messi alikuwa zamani mkuu,sasa hivi nae anapwaya kumfananisha na CR7.
 
Messi alikuwa zamani mkuu,sasa hivi nae anapwaya kumfananisha na CR7.
uwe unaangalia mechi za fcb
anyway messi miaka 29 makombe 29

neymar bora ashindanishwe na ronaldo wote 19 japo neymar ni mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…