Ramos aliwahi kutibiwa na Dawa mbili tu Messi na Ronaldinho.akikutana na spain uyo dawa yake ndogo tutakabishi file lishuhurikiwe na kiranja mkuu( ramos)
bro rudi maktaba messi sikuizi ndio anamuweza ila nyua kidogo ilikua ni sheeda aiseeRamos aliwahi kutibiwa na Dawa mbili tu Messi na Ronaldinho.
Akiwaona huwa anakuwa kama mlipiliRamos aliwahi kutibiwa na Dawa mbili tu Messi na Ronaldinho.
King ni mmoja tu mkuuKing nani huyo au Messi
Tatizo kikosi kinamrostisha siku zote