last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Ila ramos bna japo huwa simpendi ila mambi yake yananifurahishaga sana,sio unazungushwa zungushwa tu mtemee hata mate
Kwangu mimi namwona nyota wa Brazil Neymar kuwa mchezaji bora wa mashindano ya World cup huko UrusiView attachment 794675View attachment 794676
Wamemuhesabia hadi mabao ya chandimu...King ni yule aliecheza match 1380 na kufunga magoli 1280
Huyo ndiye king Pele wa brazil
Sawa timu Ronaldo...naona unajitahidi kupingana na Messi...Sio dunia nzima jisemee upande wako mkuu
Mabao ya chandimu ya Leo yanazidi hata yale official..Kwani messi hakucheza chandimu
Idadi ya mabao yake yote hata hayo ya chandimu hayafiki hata 800
Sawa timu Ronaldo...naona unajitahidi kupingana na Messi...
Edson Arantes Do na cemento !!King wa soka duniani ni Pele tu
Endelea kuota zako za usiku
Mabao ya chandimu ya Leo yanazidi hata yale official..
Umeona eeh....[emoji106] [emoji106]Yani tukisema tujumlishe na magoli ya Messi since ameanza kukipiga Newells Oldboys-Barcelona yatafika 1500
Ha ha ha...mijadala sio vita mkuu!Jinga Lao kumbe kuna sehemu huwa tunaelewana
Ila kule kwenye siasa hatuelewani