NFT's project

NFT's project

Joined
Dec 2, 2013
Posts
25
Reaction score
17
non-fundible tokens, mimi niko very interested though sina information za kutosha i have made my first siku chache zilizopita, i have few project in mind , kwaio alieko interested lets create something. nataka mtu ambae ana mpango wa ku create
 
Fees za kujiunga nasikia ziko juu sana. Nilisoma sehemu kwa juu juu tu lakini, sina uhakika sana.
 
Yes lkn katika Network ya Ethereum, ila kwa Network nyingine kama Solana nk ipo chini kidogo. Wenyewe wanaita Gas Fees
 
Utalia wewe na njaa zako. Wabongo type yako ni problem sana. Hujui kitu ila ujuaji mwingii.
Wewe bata ni picha moja tu ambayo imeshaproove kuwa na value na kuhamishika kutoka kwa wamiliki mara kadhaa
 
I'd been thinking of getting into something like that as well, and it turned out to be quite problematic to find a reliable project. It took a while to learn about NIFTSY, and after I discovered an article about Where to Buy NIFTSY Part 2 - CEXs, I decided to give it a shot because it seemed quite promising, and I was right.
 
Wazee wa commission hadi huku mpo
 
Back
Top Bottom