thomas barbona
Member
- Dec 2, 2013
- 25
- 17
non-fundible tokens, mimi niko very interested though sina information za kutosha i have made my first siku chache zilizopita, i have few project in mind , kwaio alieko interested lets create something. nataka mtu ambae ana mpango wa ku create
nft moja ni average ya dolar 98, aproject can cost a minimum of 1000. cost si shida we kua na kazi na project nzuri then ndo utafute funds.. this way unacreate higher chances za kufaulu. uko interested?Fees za kujiunga nasikia ziko juu sana. Nilisoma sehemu kwa juu juu tu lakini, sina uhakika sana.
Yes lkn katika Network ya Ethereum, ila kwa Network nyingine kama Solana nk ipo chini kidogo. Wenyewe wanaita Gas FeesFees za kujiunga nasikia ziko juu sana. Nilisoma sehemu kwa juu juu tu lakini, sina uhakika sana.
Utalia wewe na njaa zako. Wabongo type yako ni problem sana. Hujui kitu ila ujuaji mwingii.Kuhusu nft watu watakuja lia
time will tell
Wewe bata ni picha moja tu ambayo imeshaproove kuwa na value na kuhamishika kutoka kwa wamiliki mara kadhaaUtalia wewe na njaa zako. Wabongo type yako ni problem sana. Hujui kitu ila ujuaji mwingii.
Wazee wa commission hadi huku mpoI'd been thinking of getting into something like that as well, and it turned out to be quite problematic to find a reliable project. It took a while to learn about NIFTSY, and after I discovered an article about Where to Buy NIFTSY Part 2 - CEXs, I decided to give it a shot because it seemed quite promising, and I was right.