Hilo si neno, wanaita kiambishi awali kwa kuwa kinakaa mwanzoni mwa neno kikiwa na malengo ya kuweka hali ushurutia (ama masharti). Msemaji anayetumia kiambishi hiki hurejea tukio ambalo halijafanyika, lakini endapo lingefanyika lingekuwa na madhara fulani.Mara nyingi ninaona neno ‘nga' kabla ya ‘li', ‘na' (tense) , kama vile, ningalikuja .....
tafadhali, unaweza kunieleza ‘nga' ni nini? Na nipatie mifano kwa kuandika sentensi nyingi mbali mbali.
Asante sana.
Sometimes I found there is a ‘nga' before the tense word like ‘li', ‘na'.., what does that mean by ‘nga'.
Could you please offer me some examples?
Thanks a lot.
Hilo si neno, wanaita kiambishi awali kwa kuwa kinakaa mwanzoni mwa neno kikiwa na malengo ya kuweka hali ushurutia (ama masharti). Msemaji anayetumia kiambishi hiki hurejea tukio ambalo halijafanyika, lakini endapo lingefanyika lingekuwa na madhara fulani.
Mfano: Ungalikuja ungeona gari yake.
As you wish madam.Bwana Mphamvu,
Asante sana. lakini siwezi kuelewa . kiswahili changu si nzuri. uniambie tena kwa kiingereza? asante tena.
As you wish madam.
'nga'(in most cases 'nge') is prefix attached to verbs so as to denote an 'if' state of a sentence. It refers to what would have been occured 'if'...
Got it?
Bwana Mphamvu,
yes, I got it now. thanks a lot. :A S 11: