"Ngama,kupachuka,mongwe,vilei,kiberiti" Uliwahi kukutana na maneno hayo wapi na mwaka gani?

"Ngama,kupachuka,mongwe,vilei,kiberiti" Uliwahi kukutana na maneno hayo wapi na mwaka gani?

NgerukeAbra

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
1,336
Reaction score
2,008
Amani ya bwana iwe juu yenu ndugu watanzania.

Maneno tajwa hapo juu yalikuwa maarufu sehemu flani ya Tanzania ambapo vijana kutoka mikoa mbalimbali ya nchi hukusunywa hapo na huishi kwa miaka miwili,minne au sita.

Mimi binafsi nilikutana nayo mwaka 1998.
 
Back
Top Bottom