Ngamia warembo waondolewa kwenye shindano kwa sababu za udanganyifu

Ngamia warembo waondolewa kwenye shindano kwa sababu za udanganyifu

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
16,908
Reaction score
19,123
Ngamia 40 wameondolewa katika shindano la kumtafuta Ngamia Mrembo (Miss Camel Beauty) Saudi Arabia kutokana na udanganyifu ikiwemo kuchomwa sindano ya Botox ili kupunguza mikunjo na kuwafanya waonekane warembo zaidi.

Shindano hilo ni moja ya shughuli katika Tamasha la Ngamia.

20211210_110439.jpg
 
Ni heri wangefanya mashindano ya pundamilia mwenye matako mazur
 
Hakuna watu wenye roho mbaya duniani kama waarabu.....ndugu yangu muislamu niamini mimi ninachokuambia........
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Back
Top Bottom