Ngano isiyosindikwa huwa wanatengeneza nini?

Ngano isiyosindikwa huwa wanatengeneza nini?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nikipita sokoni naiona inauzwa najuaga labda matumizi yake ni kutengeneza tu unga wa lishe. Gunia lake linauzwa 200000-350000. Sijawahi kuona nyumbani kwetu wameinunua ngano hiyo.
 
Nikipita sokoni naiona inauzwa najuaga labda matumizi yake ni kutengeneza tu unga wa lishe. Gunia lake linauzwa 200000-350000. Sijawahi kuona nyumbani kwetu wameinunua ngano hiyo.
inasagwa bila kukobolewa unga unatumika kutengeneza mabumunda, maamdazi ni matamu kinyama ila yana muonekano wa kidwanzi,

pia huwa inachanganywa kwenye kutengeneza unga wa uji wa lishe.
 
Maandazi yake ni matamu sana sema rangiyake Sasa 😀

Mm Huwa nachanganya na mahind nasaga unga wa ugali unakuwa mlain na mtamu sana
 
Hiyo ngano ina virutubisho sana
 
Back
Top Bottom