Ngao ya Hisani/jamii msimu wa 2020/21 SIMBA vs YANGA?

Ngao ya Hisani/jamii msimu wa 2020/21 SIMBA vs YANGA?

wazunguwawili

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2019
Posts
3,984
Reaction score
4,132
Nawakumbusha tu, msijisahau leo mnapowashabikia Namungo huko Nelson Mandela Swanga.

Kuwa kwenye kufungua msimu tunapiga gongowazi aka utopolo aka manyani fc goli nyngine za kutosha.

Labda TFF wawaokoe.
 
Nawakumbusha tu, msijisahau leo mnapowashabikia Namungo huko Nelson Mandela Swanga.

Kuwa kwenye kufungua msimu tunapiga gongowazi aka utopolo aka manyani fc goli nyngine za kutosha.

Labda TFF wawaokoe.
Yanga anatokea wapi wewe? Shield ni Simba vs Namungo
 
Yanga atacheza na mshindi wa pili ligi daraja la kwanza Geita Gold ili kupata mshindi wao. Hao ndio saizi yao.
Home team haiwezi kucheza na utopolo aisee
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom