Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Muulize Wallace Karia. Sisi kama Wananchi hatuna muda wa kujibu maswali ya aina hii.Wadau Bila kupepesa Maneno na kwa Mujibu wa KATIBA ya TFF Mchezo wa Kugombania NGAO ya HISANI huwa Baina ya Timu BINGWA wa NCHI na Timu BINGWA wa KOMBE la SHIRIKISHO.
SIMBA ndio BINGWA wa NCHI na SIMBA ndio BINGWA wa KOMBE la SHIRIKISHO
Je YANGA Anacheza kama BINGWA wa NINI?
Mechi ya LEO YANGA Hakupaswa KUCHEZA kwani hana SIFA HIYO
Najiuliza kwani TFF haikuzipanga Timu nyingine kama NAMUNGO au AZAM?
LEO HAKUKUPASWA KUWA NA MCHEZO HUU SIMBA ALITAKIWA APEWE NGAO YAKE
Kashinda njaa chiefLeo nawatoa kafara Manchester United ili simba ashinde..
Ukiona man u kafa basi simba kashinda
Punguza hofu kichapo hakikwepekiWadau Bila kupepesa Maneno na kwa Mujibu wa KATIBA ya TFF Mchezo wa Kugombania NGAO ya HISANI huwa Baina ya Timu BINGWA wa NCHI na Timu BINGWA wa KOMBE la SHIRIKISHO.