Simba ni timu ya miaka zaidi ya 40, na itakua aibu kujiondoa kwenye ligi kwasbabu ya kumkosa mchezaji mmoja

Ni upuuzi kufanya wachezaji wote waliobaki waonekane hawana maana

SIMBA TUACHE UPUUZI, KAMA HATUKO FITI KUSEME SIO KULETA SIASA

SIJUI KWANINI... KILA ANAPOKUA RAGE LAZIMA PAWE NA MAJUNGU, FITNA, NA KILA AINA YA AFEDHULI NA UPUPU
Kenneth Assamo mwaka jana alicheza pia na hakuwa na ITC....au kumbukumbu zangu haziko vizuri...TFF bwana, Rage kawapiga mkwara mkishikilia msimamo kwamba Kago hachezi hatupeleki timu uwanjani imebidi wanywee maana hata wao wanajua bila Vilabu TFF haipo, wanajifanya kupendelea baadhi ya timu wanasahau kama zingine nazo ni timu.
MICHUZI: JUST IN: MCHEZAJI GERVAIS ANOLD KAGO ARUHUSIWA KUCHEZEA SIMBA SC MECHI YA NGAO YA HISANI NA YANGA
Jenga hoja zako acha kurusha lawama kwa Rage...Rage kajenga hoja zake sasa wewe kama unajibu kwa niaba ya TFF jibu...hatuwezi kuona kanuni zinakiukwa halafu tunafumbia macho kisa ni mchezaji mmoja unajua tumiingia garama kiasi gani kumnunua...kama kago ataruhusiwa na TFF basi wewe ndiyo utakuwa mpuuzi x100...Simba ni timu ya miaka zaidi ya 40, na itakua aibu kujiondoa kwenye ligi kwasbabu ya kumkosa mchezaji mmoja
Ni upuuzi kufanya wachezaji wote waliobaki waonekane hawana maana
SIMBA TUACHE UPUUZI, KAMA HATUKO FITI KUSEME SIO KULETA SIASA
SIJUI KWANINI... KILA ANAPOKUA RAGE LAZIMA PAWE NA MAJUNGU, FITNA, NA KILA AINA YA AFEDHULI NA UPUPU
Kenneth Assamo mwaka jana alicheza pia na hakuwa na ITC....au kumbukumbu zangu haziko vizuri...