olando da costa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 505
- 379
Wakuu, naomba kuuliza mchezo wa Ngao ya Jamii utachezwa lini, na utakuwa kati ya timu zipi maana mabingwa wa nchi SIMBA walichukua makombe yote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naomba kuuliza mchezo wa ngao ya jamii utachezwa lini na utakuwa kati ya timu zipi maana mabingwa wa nchi SIMBA walichukua makombe yote
Thanks mkuuTar sijui ila ni simba vs namungo
Trh 29 mwezi huu, maanake week ijayo (jumamosi),game linapigwa arushaThanks mkuu