Ngao ya jamii: Klabu Bingwa imejitenga na Shirikisho

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika na ile ya Shirikisho ni michuano miwili tofauti. Klabu Bingwa ni michuano mikubwa zaidi. Tanzania itawakilishwa na Yanga na Azam kwenye michuano hiyo mwaka huu. Kwa upande wa Shirikisho, tutawakilishwa na Simba na Coastal Union.

Ilivyo bahati, Azam ikakutanishwa na Coastal kule Zanzibar huku Yanga ikikutanishwa na Simba hapa Dar es Salaam kwenye nusu fainali za Ngao ya Jamii. Hapo ndipo classes zilipojitenga. Kule Zanzibar, wana-klabu bingwa Azam wakaisambaratisha Coastal ya Shirikisho kwa magoli 5-2. Hapa Dar, Simba ikakandwa 1-0 na mwana-klabu bingwa mwingine: Yanga.

Kwa vipigo vilivyotolewa na wana-klabu bingwa Azam na Yanga kwa wana-shirikisho Coastal na Simba, ni dhahiri kuwa uwezo umejitenga na maneno. Sasa, Simba itapambana na Coastal kusaka mshindi wa tatu huku Yanga ikikumbana na Azam kwenye kumsaka bingwa na mshindi wa pili wa Ngao ya Jamii.

Mpaka mseme.....na mtasema!
 
Michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika na ile ya Shirikisho ni michuano miwili tofauti. Klabu Bingwa ni michuano mikubwa zaidi. Tanzania iwatawakilishwa na Yanga na Azam kwenye michuano hiyo mwaka huu. Kwa upande wa Shirikisho, tutawakilishwa na Simba na Coastal Union.

Ilivyo bahati, Azam ikakutanishwa na Coastal kule Zanzibar huku Yanga ikikutanishwa na Simba hapa Dar es Salaam kwenye nusu fainali za Ngao ya Jamii. Hapo ndipo classes zilipojitenga. Kule Zanzibar, wana-klabu bingwa Azam wakaisambaratisha Coastal ya Shirikisho kwa magoli 5-2. Hapa Dar, Simba ikakandwa 1-0 na mwana-klabu bingwa mwingine: Yanga.

Kwa vipigo vilivyotolewa na wana-klabu bingwa Azam na Yanga kwa wana-shirikisho Coastal na Simba, ni dhahiri kuwa uwezo umejitenga na maneno. Sasa, Simba itapambana na Coastal kusaka mshindi wa tatu huku Yanga ikikumbana na Azam kwenye kumsaka bingwa na mshindi wa pili wa Ngao ya Jamii.

Mpaka mseme.....na mtasema!
Super Cup hukutanisha bingwa wa Klabu Bingwa na Bingwa wa Shirikisho. Matokeo huwa mnayaona
 
Michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika na ile ya Shirikisho ni michuano miwili tofauti. Klabu Bingwa ni michuano mikubwa zaidi. Tanzania itawakilishwa na Yanga na Azam kwenye michuano hiyo mwaka huu. Kwa upande wa Shirikisho, tutawakilishwa na Simba na Coastal Union.

Ilivyo bahati, Azam ikakutanishwa na Coastal kule Zanzibar huku Yanga ikikutanishwa na Simba hapa Dar es Salaam kwenye nusu fainali za Ngao ya Jamii. Hapo ndipo classes zilipojitenga. Kule Zanzibar, wana-klabu bingwa Azam wakaisambaratisha Coastal ya Shirikisho kwa magoli 5-2. Hapa Dar, Simba ikakandwa 1-0 na mwana-klabu bingwa mwingine: Yanga.

Kwa vipigo vilivyotolewa na wana-klabu bingwa Azam na Yanga kwa wana-shirikisho Coastal na Simba, ni dhahiri kuwa uwezo umejitenga na maneno. Sasa, Simba itapambana na Coastal kusaka mshindi wa tatu huku Yanga ikikumbana na Azam kwenye kumsaka bingwa na mshindi wa pili wa Ngao ya Jamii.

Mpaka mseme.....na mtasema!
na kuna kila dalili nafasi za ngao ya jamii zikawa kama zilivyokuwa kwenye ligi 1.yanga 2.azam 3.simba 4.coastal
 
Back
Top Bottom