Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

Kwa mtazamo wa haraka haraka hapa uwanjani, mashabiki wa Simba ni wengi sana kuliko wa Yanga,,,,,

Sijui inamaanisha nini......
 
Hawa Simba ubingwa wasahau, niliju wana bonge la team kumbe kelele tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…