Ngao ya jamii iliyopita kwani alifungwa nani?NAONA MATOKEO MAPEMA THIS TIME
MECHI ITAKUWA NGUMU KIPINDI CHA KWANZA
.CHA PILI YANGA WATAINGIA NA KASI YA AJABU SANA SANA AIJAWAHI KUTOKEA
KAMA BAADHI YA WACHEZAJI WA SIMBA WATASHINDWA KUVUMILIA HII KASI TUTARAJIE PENALTY ITATOKEA KWENYE HII MECHI
YANGA ANA 75 PERC YA USHINDI MPAKA SASA.........
YANGA ANATAKIWA ACHEZE KWA NIDHAMU KUBWA SANA NA NA AMINI WATAINGIA NAYO HII
BALEKE
MSONDA
MUDATHIR
AZIZ K
AZIZ ANDAMBWILE
HAWA WATAKUWA BAADHI YA WAUWAJI WA KUIMALIZA SIMBA
OTHERWISE MPAKA SASA N HAYO TU
ULICHONACHO UNASHAURIWA KUTABIRI
RGDS
WAKALATIGOPESA
Goli mbili saafi refa akazitia mfukoni ila safari hii zile alizo zitia mfukoni zitakuja na mapacha ila sijajua mapacha wangapiNgao ya jamii iliyopita kwani alifungwa nani?
Tatizo wenye akili pale utopoloni ni wawili ila kwasasa ameongezeka mmoja mzee Magoma jumla watatu.
Mlisema hivi hivi kabla ya game lakini mwisho wa siku Simba aliibuka mshindi ngao ya jamii.
Mpira ni akili na hesabu sio mabavu sijui kasi unayoizungumzia wewe.
Utacheza kasi lakini wahuni wanakuweka komoja baada ya kingine na ngoma inaisha hivyo.
Ulianza kwa kusema idadi ya magoli ni siri ya Mungu, baadaye ukaja kusema 6-0. Ina maana Mungu alikufunulia siri kadiri ulivyokuwa ukitype? Utopolo bwana, kama tu Manara alivyosema, vichwa havina akili kabisa
- .... japo idadi ya magoli ndo hatuwezi kujua, ni siri ya Mungu
- .... full time Yanga 6 - 0 Simba.
Duke Abuya.Naona matokeo mapema this time
Mechi itakuwa ngumu kipindi cha kwanza
.Cha pili yanga wataingia na kasi ya ajabu sana sana aijawahi kutokea
Kama baadhi ya wachezaji wa simba watashindwa kuvumilia hii kasi tutarajie penalty itatokea kwenye hii mechi
Yanga ana 75 perc ya ushindi mpaka sasa.........
Yanga anatakiwa acheze kwa nidhamu kubwa sana na na amini wataingia nayo hii
Baleke
Msonda
Mudathir
Aziz k
Aziz andambwile
Hawa watakuwa baadhi ya wauwaji wa kuimaliza simba
Otherwise mpaka sasa n hayo tu
Ulichonacho unashauriwa kutabiri
Rgds
Wakalatigopesa