Ng'arisha ngozi

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined
Dec 7, 2007
Posts
4,555
Reaction score
3,655
Kwa kutumia vitu vya asili unaweza kubadilisha complexion ya ngozi yako.
Hii inafaa sana kama umebabuka na jua au unataka kutakatisha ngozi yako
Changanya
Turmeric 1/2 kijiko kidogo
Mtindi kijiko 1 kidogo
Juisi ya limao 1/2 kijiko kidogo
Paka mchanganyiko huu usoni hadi shingoni na uache ukauke kwa dk 20 kisha uoshe

#naturalremedies #skincare #naturalglow
 
cjaelewa hizi organic chemistry
 
Kwa mda gani na mara ngap kwa siku
 
Yani wanawake mtu anaweza kuleta mixture hata aliyeileta hajui nini kitatokea, lakini weshaulizia dozi. Nani anajipaka limao, ngozi ikanawili? au kung'aa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…