Ng'arisha uso wako na nanasi

Ng'arisha uso wako na nanasi

tanzaniabwana

Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
16
Reaction score
2
Achana na vichubuzi..tumia nanasi kung'arisha uso

Pineapple is one of the sweetest fruit and is one of my favorite without forgetting grapefruits and passion. Pineapple has got enzymes that soften and exfoliate your skin .Today let’s see how to brighten skin using pineapple.

Ingredients
Pineapple ¼
Papaya ¼
Brown sugar 2 tablespoon
Almond oil 1 tablespoon
Honey 1 tablespoon

How to make and use it
Mix the mashed pineapple and papaya with other ingredients to get the mixture you need. After you are done apply to your skin leave it for 15 minutes, then rinse with warm water and watch your skin being brighten
 
Sasa si ungeweka mambo yote hapa?
Haya mambo ya kuanzisha thread kisha mtu hatoi maelezo anaweka link it's kinda boring.
 
Lol,..chumvi, ukwaju, nanasi, mayai, maziwa, parachichi hivyo vya ngozi, halafu sukari kwenye lips, matango kwenye macho. Ukimaliza hapo ingia steaming room.
Ukitoka lazima uwe M delicious...
Mh! Dada zangu kazi mnayo. Naskia siku hizi hadi viungo vya pilau mnaweka kule chini private office.
 
Mh! Dada zangu kazi mnayo. Naskia siku hizi hadi viungo vya pilau mnaweka kule chini private office.
hahaha dada zetu hata ukiwaambia mavi ya paka nayo yanafanya uso nyororo watapaka tuu
 
Lol,..chumvi, ukwaju, nanasi, mayai, maziwa, parachichi hivyo vya ngozi, halafu sukari kwenye lips, matango kwenye macho. Ukimaliza hapo ingia steaming room.
Ukitoka lazima uwe M delicious...
Hahaha kwa viungo vyote hivyo, lazima unoge
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hahaha kwa viungo vyote hivyo, lazima unoge

Shoga umejaribu hiyo ya sukari kwenye lips?

Niliona kwa Tyra Banks wakati anafanya show yake, it works bwana. Ukiweka mswaki kwenye sukari halafu ukasugua lips, zinakuwa sooft.

Sugar is a good exfoliate.
 
Aaah me huwa napaka asali kwa lips naendelea na shughuli nyingine. Ntajaribu ya kusugua hiyo, lips zitanogaje
 
Asali inakuwa kama moisturizer? Haiwi sticky?
Yes kama moisturizer, mmh huwa hata sikumbuki imeisha saa ngapi lol (au nalambaga hahaha), but haiwi sticky kama ukipaka usoni.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom