Haruna Moshi Boban, Professional player....
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
ndikumana si alishafariki? au?......1.5 bln,jamaa kaongezea chumvi tu,el merreikh hawana hela kwa mchezaji wa kibongo,kwa mujibu wa huyo mwandishi el merreikh baada ya kushindwa kumpata ngasa ikabidi wamchukue ndiku,ndiku kwa sasa yuko azam hapo anasugua benchi,angefanya kutafuta muda akamuulize kama kule sudan alilipwa pesa hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa kwa vile walikua simba usikii kuzungumziwa vibaya,2012 timu ya sudan itoe dola laki 1 kwa ngasa,hiyo chai waiongeze sukari
Sent using Jamii Forums mobile app
Senge lile yaani linaacha zari linawahi game ya kichawi halafu walidraw tatu tatuBora Ngassa bado anasikika, huyu boya kapotea kabisa.
Dogo alikosea sana kukataa ile ofamkuu haihitaji shule kubwa kujua kwamba El mereikh ni team kubwa na wamekupa dau kubwa lenye pesa ndefu kuliko Yanga fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Alivyorudi badala ya kizidisha mazoezi na lishe nasikia akaongeza mke[emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka hiyo ya Marekani alicheza dhidi ya Man United
Huko Ulaya alienda West Ham naskia aliambiwa akaongeze lishe alikua dhaifu mno
Huyo Sekilojo Chambua ndio yule jamaa aliekuwa anatoa story zake Clouds Fm kwenye kile kipindi cha njia panda mkuu?!...Hii ilitokea kwa Sekilojo Chambua. Yeye mwenyewe anasema alipokuwa Yanga yeye na Nonda Shabani Papii walitakiwa na klabu ya Moroka swallows ya bondeni lkn Yanga walikataa na anasema Yanga iliwaahidi donge nono. Anasema tabia ya sisi wabongo wengi kutokuwa na passport na kubweteka tukifika simba na Yanga anavijutia Sana. Nonda shabani alikuwa na passport yake akakwea pipa akitoroka pale jangwani na hatimaye kupata mkataba na timu hiyo ya South Africa. Nonda hatimaye akawa Star Ulaya.
habari hii niliifuatilia sana kipindi hicho nipo vimbweta vya coet napiga rb....... machozi yalinitoka sn nilipokua nasoma hizi habari........
edo kumwembe na shaff dauda walipiga sn kelele facebook kuhusu upuuzi huu wa ngasa......
maisha kwakweli ni funzo kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngassa huyu si alitakiwaga hadi na west ham united au
Bangi apewe kabla ya kucheza vinginevyo hachezi.siku hizi yuko huko Coastal Union[emoji849]
Makofi na mtamaMuandishi ni nani?
Habari kama hii mwanae akiisoma anaweza kumpiga kofi baba yake.
Alifichwa kama mwali vile..Poor Ngassa..acha azeeke na njaa zake..unless kuna sababu nyingine ambayo ambayo hatuijui,huu utakuwa ni ujinga kabisaBongo kuna wanaume wana gene za kike, wana ile nataka sitaki.
Ukimtongoza/Ukizungumza na msichana kwa nia ya kumtaka kimapenzi na labda hata kumuoa, Atakwambia nina boyfriend, mara hili na lile. Huwa ahawaangalii how serious the issue might be, wao hukataa tu. wanataka umbembelezeeee wee , eti ukifanya hivyo ndio unampenda.
Huyo naye ukiangali story hiyo, ilikuwa ni the same situation.
Sasa mwanaume unafichwaje? kwani ukipatikana ukasikiliza kasha uka kataa au ukatafuta wataalamu wakautizama mkataba wako, na ukaamua kama mwanaume.
Eti mwananume unafichwa kama demu vile, hahaha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bongo kuna wanaume wana gene za kike, wana ile nataka sitaki.
Ukimtongoza/Ukizungumza na msichana kwa nia ya kumtaka kimapenzi na labda hata kumuoa, Atakwambia nina boyfriend, mara hili na lile. Huwa ahawaangalii how serious the issue might be, wao hukataa tu. wanataka umbembelezeeee wee , eti ukifanya hivyo ndio unampenda.
Huyo naye ukiangali story hiyo, ilikuwa ni the same situation.
Sasa mwanaume unafichwaje? kwani ukipatikana ukasikiliza kasha uka kataa au ukatafuta wataalamu wakautizama mkataba wako, na ukaamua kama mwanaume.
Eti mwananume unafichwa kama demu vile, hahaha.