hapa wahujumu wameanza kuitoa mmoja baada ya mwingine baada ya Mwenyekitiwa Jumuia ya wazazi Kilimanjaro Thomas Ngawaiya kutamka kwamba atahama nchi kama Dr W.Slaa akishinda uraisi, hii inaashiria huyu jamaa ni fisadi, mhujumu, why aogope kushi nchini chini ya Chadema? ana lake jambo!
oh oh!ngawaiya lazima ahame kwani ni fisadi alihujumu pesa za mfuko wa pembejeo za kilimo wakati akiwa waziri.aliziweka pesa hizo axim bank kwenye account ya fdr badala ya kuwakopesha wakulima kwa muda wa mwaka mmoja akajizolea riba kibao ndipo akazitoa bank na kuwakopesha wakulima.matumizi mabaya ya madalaka