Habari wana jamvini naomba kujua level ya mishahara kwa VETA kwa Mhasibu anae anza kazi inakuwaje kwa wale walio fanya kazi kule au wanandugu wanao fanya kazi VETA shukurani ili niweze pima unga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.